Pata Mizunguko 100 Unapojisajili

Promo code ni: A21

18+ Vigezo na Masharti Kuzingatiwa I Cheza Kistaarabu

Muhtasari

Tangu mwaka 2014 kampuni ya kubashiri ya Play Master maarufu kwa kifupi kama PMBet imeteka soko la wabashiri wa Tanzania huku ikitoa nafasi kubwa kwa wateja wake kushinda pesa nyingi kupitia michezo mbalimbali na jackpot.
PMBet pia wanajulikana kwa huduma ya michezo kabambe ya casino.

Bonasi ya Ukaribisho

Kuhusu PMBet

Play Master ni kampuni ya kubeti inayotoa odds nzuri kwenye michezo mbalimbali kwa wateja wake waliopo Tanzania. Kampuni ya Play Master inapatikana pia katika nchi ya Kenya na Zambia. Kampuni ya Play Master ilianza kufanya shughuli zake mwaka 2014 na imekuwa miongoni mwa kampuni bora Tanzania ikiwa inatoa huduma zenye ubora wa kimataifa.

Play Master inavyo vibali kamili kutoka katika mamlaka inayohusika na kusimamia michezo ya bahati nasibu Tanzania (Gaming Board of Tanzania). Kampuni ya Play Master inawahakikishia wateja wake wa Tanzania huduma bora katika nyenzo zote.

CHANYA ZA PMBET

+Tovuti Rahisi Kutumia

+Kasino na Betting Mubashara

+Chaguzi ya Kusitisha Mkeka

+Rahisi na Haraka Kujisajili

HASI ZA PMBET

-Haipatikani kwa Nchi Nyingi

-Hakuna Aplikesheni ya iOS

Kuweka na Kutoa Fedha

Play Master inazo njia rahisi za kuweza kutoa na kuweka pesa katika akaunti za wateja wake waliopo Tanzania. Kupitia huduma za M-Pesa, Mixx by Yas (Tigo Pesa), Airtel Money na Halo Pesa mteja anaweza kutoa na kuweka pesa kwa haraka zaidi katika akaunti yake ya Play Master. Mteja anaweza kuweka kiwango chochote katika akaunti yake kuanzia Tshs. 1000 na kufurahia huduma zitolewazo na Play Master.

Muonekano wa PMBet
PMBet Kasino

Play Master ni miongoni mwa kampuni chache zinazotoa huduma bomba za online casino Tanzania. Ikiwa na huduma za live casino wateja wa Play Master Tanzania wanaweza kujisajili na kufurahia gemu nyingi mno na za aina mbalimbali kuanzia zile za sloti mpya kabisa na gemu za mezani mpaka kwenye video poker na gemu za casino za live dealer. Mtandao huu pia ni sehemu sahihi ya kupata gemu kubwa za kasino zinazopendwa na kuchezwa na wateja wengi huku zikisambazwa na wauzaji wa gemu mbalimbali.

Huduma kwa Wateja

Huduma kwa wateja wa Play Master inapatikana muda wowote unaotaka, na endapo unahitaji msaada wa kujisajili kwenye app ama kwenye masuala ya kucheza gemu utakutana na timu nzuri itakayokusaidia vyema kabisa kupitia njia mbalimbali kama vile ile ya barua pepe, simu au moja kwa moja unapochati nao kwenye tovuti yao. Unaweza kuwasiliana na timu ya Play Master kupitia live chat katika tovuti yao au barua pepe support@pmbet.co.tz.

Usalama na Usawa

Usalama na usawa katika kampuni ya Play Master ni wa kiwango cha juu cha kuridhisha. Premierbet wanatumia seva ambazo zinalinda sana taarifa zako kuhakikisha kwamba wewe na taarifa zako binafsi mnalindwa vyema na mpo salama kabisa na haitolewi kwa mtu yeyote yule asiyehusika.

Bonasi na Promosheni

PMBet ni kampuni ambayo inatoa bonasi za kuvutia na promotion nzuri zinazo wanufaisha wateja wao. Unapojiunga na PMBet na kuweka pesa katika akaunti yako unao uhakika wa kupata bonasi hadi ya kufika 50% ya kiwango cha pesa ulichoweka. Pia unaweza kupata hadi mizunguko 100 ya bure katika michezo ya kasino. Pia PMBet wanayo promosheni nzuri ya kuweza kushinda gari katika Promotion ya Royal Win. Unaweza kushinda Nissan Dualis, Toyota IST na zawadi nyingine nyingi kabambe.

Pata Mizunguko 100 Bure Unapojisajili

Tumia Promo code: A21