Pata hadi 1,000,000 Unapojisajili
18+ Vigezo na Masharti Kuzingatiwa I Cheza Kistaarabu
Muhtasari
Gal Sports Betting ni moja ya makampuni makubwa ya kubashiri mtandaoni Africa. Gal Sports Betting wanapatikana katika nchi za Tanzania, Uganda na Zambia pia wakiwa na maduka (bet shops) yao pia katika miji mbalimbali ya nchi hizo. Gal Sport Betting wanazo huduma nzuri za kubashiri michezo mbalimbali huku wakitoa odds za kuvutia.
Bonasi ya Ukaribisho












Kuhusu Gal Sport
Gal Sport Betting ikijulikana kwa kifupi kama GSB ni kampuni ya michezo ya kubashiri iliyoteka soko kubwa Tanzania, Uganda na Zambia. Ikiwa imeanzishwa mwaka 2017 Gal Sport Betting ni miongoni mwa makampuni maarufu kwa sasa barani Africa.
Gal Sport Betting ikiwa na michezo mingi na chaguzi nyingi pia, kampuni hii pia inayo michezo pendwa ya casino za mtandaoni. Kampuni ya Gal Sport Betting inafanya kila jitihada kuhakikisha wateja wake wanapo huduma bora yenye viwango vya kimataifa.
Kupita michezo yao na chaguzi mbambali zaidi ya 1000+ unaweza kuweka mkeka wako kwa usalama na kupata ushindi wa uhakika. Gal Sport pia hawajaweza kuwaacha mbali wapenzi wa michezo ya kasino. Kuna michezo mingi sana ya kasino ikiwepo ya moja kwa moja (live casino) hivyo kuweza kumpa uwanja mpana mchezaji kuweza kuchagua mchezo aupendao.
Kwa wale ambao siyo watumiaji wazuri wa mitandano, Gal Sport Betting inayo maduka sehemu mbalimbali nchini Tanzania na nchi washirika ambapo wachezaji wanaweza kufika na kuweka mikeka au kucheza michezo ya kasino.




CHANYA ZA GAL SPORT
+Rahisi na Haraka Kujisajili
+Kasino na Betting Mubashara
+Rahisi na Haraka Kutoa Pesa
+Ofa Nyingi na za Kuvutia
HASI ZA GAL SPORT
-Baadhi ya Maandishi ya Tovuti Madogo
-Hakuna Aplikesheni ya iOS
Kuweka na Kutoa Fedha
Kupitia huduma za kifedha zitolewazo na makampuni yote makubwa yaliyopo nchini Tanzania, wateja wa Gal Sport Betting wanaweza kutoa na kuweka pesa katika akaunti zao kwa urahisi kabisa. Wateja wa Gal Sport Betting wanaweza kutoa pesa kupitia M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas (Tigo Pesa) na Halo Pesa.








Muonekano wa Gal Sport




Gal Sport Kasino
Gal Sport inakupatia huduma nzuri za michezo ya Kasino kwa wateja wasio wapenzi wa kubeti michezo. Ikiwa na huduma za live casino wateja wa Gal Sport wanaweza kujisajili na kufurahia michezo mingi sana na za aina mbalimbali kuanzia zile za sloti mpya kabisa na michezo ya mezani mpaka kwenye video poker na michezo za casino ya live dealer.



Bonasi na Promosheni
Gal Sport betting wanatoa promosheni na bonasi mbalimbali za kuvutia zenye lengo la kuwanufaisha wateja wake kwa kiwango kikubwa. Pia wanazo jackpots kubwa zinazomuwezesha mteja kushinda pesa nyingi sana hadi zaidi ya Tshs. 100,000,000.
Aplikesheni ya Android
Gal Sport Betting wanayo aplikesheni bomba ya simu janja za android inayomuwesha mteja kupata huduma zote kwa haraka na kwa urahisi. Kupitia program aplikesheni ya Gal Sport Betting wateja wanaweza kufurahia huduma zitolewazo na kampuni mahali popote pale. Lakini hata kwa wateja wanaotumia programu ya iOS kwenye simu zao wanaweza kufurahia tovuti ya Gal Sport Betting iliyotengenezwa mahususi kwa ajili ya simu janja.
Huduma kwa Wateja
Huduma kwa wateja wa Gal Sport Betting inapatikana muda wowote unaotaka, na endapo unahitaji msaada wa kujisajili kwenye app ama kwenye masuala ya kucheza gemu utakutana na timu nzuri itakayokusaidia vyema kabisa kupitia njia mbalimbali kama vile ile ya barua pepe, simu au moja kwa moja unapochati nao kwenye tovuti yao. Unaweza kuwasiliana na timu ya Gal Sport Betting kupitia live chat katika tovuti yao, au kupitia namba ya bure (toll-free) 0800 712 345, au kupitia barua pepe customercare@gsb.co.tz.
Usalama na Usawa
Usalama na usawa katika kampuni ya Gal Sport Betting ni wa kiwango cha juu cha kuridhisha. Gal Sport Betting wanatumia seva ambazo zinalinda sana taarifa zako kuhakikisha kwamba wewe na taarifa zako binafsi mnalindwa vyema na mpo salama kabisa na haitolewi kwa mtu yeyote yule asiyehusika.
© 2024. All rights reserved.
Wasiliana Nasi
Tafadhali tujulishe kuhusu maswali au maoni yako


Vigezo na Masharti vitazingatiwa kwa ofa zote na bonasi zitakazotangazwa kwenye tovuti hii. Tembelea kampuni ya betting husika kwa maelezo zaidi. Sisi sio kampuni ya betting/mikeka na hatuchukui dau zozote. Odds za kipekee tunazotoa katika makala mahususi za habari ni za burudani na hazipatikani kwa kuwekewa dau. Kutumia taarifa yoyote inayopatikana katika www.mkekabetting.com kukiuka sheria yoyote ni marufuku. Angalia kanuni za bahati nasibu mtandaoni katika eneo lako la mamlaka kabla ya kuweka dau zozote na viungo vyovyote vya kutangaza mikeka.
Beti Kistaarabu
Hairuhusiwi chini ya miaka 18

